IPO SIKU$$$$$$$$$$$$$$ ..........IPO SIKU MAMBO YATAJIPA$$$$$ .... najaribu
kumake most of mine dreams come true n ' i know ipo siku watu watabaki huyu ni yule kijana alikuwa kama area hii,nitawjibu ndio nami siwezi kubadilika ama kubehave kama vile wao udo, lakini ndani yao wao ni wanabaki wakiniombea mabaya ....si mi nina wangu ananipenda nami nampenda nimemumiss hata kama sijawai pata for so long najua ipo siku tutameet naye,walai natamani hiyo siku,nway kwa wale wote wanani big up zaidi najua ipo siku tutaparty na kuiva pamoja si mnajua tena ai!?kwa mahaters dedication yangu ni ngumi mia saba za mike tyson ziwaache aha ahah haah am out see yah......
Join MZIKIFM.COM | MZIKI | Radio | TV | Social Network | Events Tickets |"Lyrics Kenya"| Mobile-wap enabled site | for a free account, or Login if your already a member.